Vermont Language Justice Project - VLJP: Getting a Second Booster Shot - Swahili
Tell us about your experience with this online video, click here.
Description
Je, ni nani ambaye anaweza kupokea chanjo-nyongeza ya pili ya kovid 19 mwezi wa Apirili?
Hamjamboni
Watu wafuatao wanaweza kupokea nyongeza ya pili miezi minne baada ya nyongeza yao ya kwanza ya COVID-19:
Watu wenye umri wa miaka 50 au zaidi sasa wanaweza kupata nyongeza ya pili ya chanjo ya Pfizer au Moderna.
Watu 18 na zaidi ambao wana mfumo dhaifu wa kinga wanaweza kupokea nyongeza ya pili ya chanjo ya Pfizer au Moderna.
Kwa watu wenye umri wa miaka 12 na zaidi ambao wana mfumo dhaifu wa kinga, unaweza kupokea nyongeza ya pili ya chanjo ya Pfizer.
Watu ambao walipokea chanjo ya Johnson & Johnson na nyongeza ya Johnson & Johnson wanaweza kupokea nyongeza ya pili ya Pfizer au Moderna.
Tunakuhimiza kupata chanjo au kupata nyongeza yako kupitia daktari wako, kliniki au duka la dawa. Kumbuka chanjo ya COVID-19 ni bure katika eneo lolote na inapatikana sana katika jimbo lote.
Ikiwa una maswali, tafadhali wasiliana na daktari wako, au wasiliana na AALV kwa 802 985 3106 au mradi wa Wakimbizi wa Vermont kwa 802 655 1963 kwa habari zaidi kuhusu jinsi ya kupata nyongeza yako.
---------------------------------------------------------------------
The following people may receive a second booster shot four months after their first COVID-19 booster:
People age 50 or older can now receive a second booster of the Pfizer or Moderna vaccine.
People 18 and older who have a weakened immune system can receive a second booster of the Pfizer or Moderna vaccine.
For people age 12 and older who have a weakened immune system, you can receive a second booster of the Pfizer vaccine.
People who received the Johnson & Johnson vaccine and Johnson & Johnson booster can receive a second booster of Pfizer or Moderna.
We encourage you to get vaccinated or get your booster through your doctor, a clinic or a pharmacy. Remember the COVID-19 vaccine is free at any location and widely available across the state.
If you have questions, please talk to your doctor, or contact AALV at 802 985 3106 or the Vermont Refugee project at 802 655 1963 for more information about how to get your booster.
Featured Story
Applications Now Open for the Spring 2025 Cohort of the Neighborhood Community Media Internship Program
Town Meeting TV is excited to announce that applications are now open for the Spring 2025 cohort of the Neighborhood Community Media Internship program. Join up to 8 other youth to engage in interesting media making projects! This paid media internship opportunity is designed for youth aged 16-20 who are eager to gain professional experience in the audio-visual field and develop a deeper understanding of their local community. The group will meet under the leadership of Town Meeting TV's Travis Washington from the end of January 2025 to the beginning of June 2025, on a schedule agreed upon by the whole cohort. Click here to apply!